Simba yamtaka kocha Mghana

Uongozi wa klabu ya Simba umefanya mazungumzo na kocha Sellas Tetteh Teivi, raia wa Ghana ambaye ni mmoja wa makocha maarufu barani Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS