Farid Musa sasa kwenda Hispania kwa mkopo
Klabu ya soka ya Azam FC imesema haikuwa na lengo la kukataa ofa ya usajili wa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Farid Musa Maliki ambaye amefuzu majaribio katika timu ya ligi daraja la kwanza nchini Hispania Derpotivo Tenerlife na kumpeleka kwa mkopo