UKIMWI kutopimwa nyumba kwa nyumba Dkt Albina Chuwa, Mkurugenzi Mkuu NBS Ofisi ya Taifa ya Takwimu, NBS, imekanusha taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kwamba, ugonjwa wa Ukimwi sasa utapimwa nyumba kwa nyumba. Read more about UKIMWI kutopimwa nyumba kwa nyumba