Watoto wataka fursa ya kucheza na kusoma mashuleni
Wakiwa na furaha kubwa umati wa watoto walijumuika kwa pamoja katika Tamasha maalumu la michezo la kumbukumbu ya vifo vya watoto wenzao waliouawa kikatili nchini Afrika Kusini mnamo mwaka 1976, siku hyo inajulikana kama Siku ya Mtoto wa Afrika.