Miradi ya maji imesahaulika Bunda- Kangi Lugola
Mbunge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugola ameiambia serikali Mjini Dodoma kwamba miradi ya maji katika jimbo lake imeshindwa kukamilika kwa muda wa miaka 7 mfulilizo huku vigezo vyote vinavyotakiwa vikiwa vimekamilishwa na Halmashauri ya Bunda.