Ajali ya basi yaua watano Misungwi mkoani Mwanza

Kamanda wa polisi mkoa wa mwanza kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Ahmed Msangi

Watu watano wamefariki dunia na wengine kumi na watatu kujeruhiwa baada ya ajali ya gari kugonga jiwe na kupinduka wilayani Misungwi, mkoani Mwanza

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS