Yanga yamaliza kambi Uturuki, yawafuata Waalgeria Kikosi cha Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara timu ya Yanga kimeondoka nchini Uturuki kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Mo Bejaia Juni 19. Read more about Yanga yamaliza kambi Uturuki, yawafuata Waalgeria