Wabunge wawili CHADEMA wasimamishwa

Suzan Lyimo

Bunge la Tanzania limeawasimamisha wabunge wawili wa chama cha Demokrasia na maendeleo Suzan Lymo na Anatrophia Theonest kutohudhuria vikao vya bunge visivyozidi vitano kwa kusema uongo bungeni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS