Mitandao ya kijinsia yalia na JPM kuteua wanawake
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli amekumbushwa kupitia upya mikataba ya kimataifa na kikanda inayotaka kuwepo na misingi ya usawa wa kijinsia kwenye ngazi mbalimbali za uongozi.

