Serikali kukamilisha maabara Hospitali ya Mbeya Waziri wa afya, jinsia wazee na watoto Ummy Mwalimu imeahidi kuendelea na ujenzi wa jengo la X Rays katika hospitali ya rufaa ya Mbeya ambalo lilianza ujenzi wake Novemba 9 2012. Read more about Serikali kukamilisha maabara Hospitali ya Mbeya