Nimevuliwa kofia na Mbunge wa CHADEMA- Mlinga

Mbunge wa Ulanga (CCM) Goodluck Mlinga amedai bungeni kwamba Mbunge wa Viti Maalumu Chadema Anatropia Theonest amemvua kofia yake aina ya baraghashia jambo ambalo lingemfanya akose uhalali wa kuwepo ndani ya Bunge kwa kuwa alikuwa amevalia kanzu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS