Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Polisi Kagera waanza msako wezi wa kichanga

Friday , 2nd Dec , 2022

Jeshi la polisi mkoani Kagera limeanza uchunguzi wa kubaini watu wasiofahamika waliohusika na wizi wa mtoto mchanga wa kike Benita Beneti mwenye umri wa mwezi mmoja, ambaye anadaiwa kuibwa Desemba 01/2022 majira ya usiku, katika mtaa wa Migera kata ya Nshambya katika manispaa ya Bukoba

Kamanda wa polisi mkoani Kagera William Mwampaghale amesema kuwa siku ya tukio majira ya saa moja usiku mama huyo Johanitha Augustino alitembelewa na marafiki zake watatu ambao aliwahi kuishi nao zamani katika mtaa wa Omukigusha kwa lengo la kumsalimia, na kwamba baada ya kumsalimia waliaga kundoka na baadae wawili walirejea kwa mama huyo na kudai wana mazungumzo naye.

"Mama huyo alikataa na kuahidi kufanya mazungumzo hayo kesho yake tarehe 02/12/2022 majira ya mchana, ndipo watu hao wakamuomba awasindikize, mara baada ya kuwasindikiza alirejea chumbani kwake hakumkuta mtoto wake aliyekuwa amelala kitandani, ndipo alipobaini kuwa ameibwa" amesema.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja