Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Ipo siku nitakuwa Rais wa Tanzania" - Haji Manara

Friday , 11th Dec , 2020

Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara ametoa kali ya mwaka kwa kusema Mungu akimpa uhai na majaliwa ataenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka ijayo ila bado hajajua itakuwa lini.

Msemaji wa Klabu ya Simba

Akifunguka hilo wakati anapiga stori na PlanetBongo ya East Africa Radio Haji Manara amesema kwa mfano akiwa Rais mtaji wake wa kwanza ukiacha masuala ya siasa na kazi za maendeleo ni kuwekeza kwenye mpira wa miguu.

"Mungu akinipa uhai na majaaliwa, chukueni haya maneno yangu leo, naenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mungu anipe uhai tu, sijui ni lini ila nitakuwa tu"

"Hakuna kitu kinachopendwa Tanzania kama michezo hasa mpira wa miguu, kwa mfano mimi nikiwa Rais mtaji wangu wa kwanza nje ya siasa na kazi za maendeleo nitawekeza kwenye mpira wa miguu" amesema Haji Manara 

Aidha amendelea kusema "Yanga na Simba zikishinda watu wanakimbia maandamano bila ya kulipwa au kuvalishwa fulana, angalia Simba tunapoenda mikoani ile sapoti tunayopata kwa mashabiki hata nikipata fursa ya kuzungumza na Rais nitamuachia maneno hayo"

Zaidi tazama hapa chini kwenye video.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja