Mfungaji bora huyo wa mashindano ya kombe la Dunia la mwaka 2002 atashindana na Rais wa sasa wa CBF Ednaldo Rodrigues katika uchaguzi mkuu utakaofanyika 2026.

17 Dec . 2024

Lookman amewashinda Achraf Hakimi wa PSG na timu ya taifa ya Morocco,Serhou Guirassy wa Borrusia Dortmund na timu ya taifa ya Guinea na Ronwen Williams wa Afrika ya Kusini.

17 Dec . 2024

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro, na kulia ni Daisle Simion Ulomi

16 Dec . 2024

Prof.Mohamed Janabi, Mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili na Mshauri wa Rais waswala ya Afya na Tiba

12 Dec . 2024

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akiwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Nathan Belete

12 Dec . 2024

Klabu ya Simba inashida ya uwepo wa Mchezaji anayeweza kucheza kwa kutokea pembeni ambaye anaweza kufunga na kutengeneza magoli.Viungo wa pembeni wa timu ya Simba wanachangamoto ya kutengeneza nafasi Kibu Denis,Radack Chasambi,Edwin Balua,Joshua Mutale wote mchango wao wa kufunga na kutengeneza nafasi umekuwa mdogo msimu huu.

3 Dec . 2024

Simba SC yenyewe itaingia uwanjani siku ya Jumamosi ikiwa na kumbukumbu ya kupata ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya FC Bravos ya kutokea Angola kwenye mchezo wa kwanza wa makundi uliochezwa uwanja wa Benjamini Mkapa Dar es salaam.

3 Dec . 2024