Rabadaba aibua ugomvi na Jeff Msanii wa Uganda Rabadada Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Rabadaba ameripotiwa kuwa katika ugomvi na meneja wa kundi jipya la 'Team No Sleep' Jeff Kiwa, chanzo cha ugomvi kikiwa ni mwanamke ambaye amefahamika kwa jina Lydia Jazmine. Read more about Rabadaba aibua ugomvi na Jeff