Kaligraph: Bifu yangu na Octopizzo haina utani
Rapa Kalipgraph wa nchini Kenya, ameweka wazi kuwa bifu yake yeye na rapa Octopizzo tofauti na watu wengi wanavyoelewa, ni kitu ambacho kilianza siku nyingi, na si mpango uliwekwa ili kujijengea umaarufu zaidi kimuziki.