Chanjo imeokoa maisha ya Watanzania - JK

Rais Jakaya Kikwete

Rais Kikwete amesema kuwa kuwekeza katika chanjo ni moja ya uwekezaji wa maana zaidi na wa akili zaidi ambao mataifa yanaweza kufanya katika kuboresha afya ya raia wake na hali ya baadaye ya mataifa duniani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS