Ramsey ang'ara huko Marekani
Mwigizaji kutoka Nigeria, Ramsey Nouah ameendelea kutikisa anga za kimataifa katika fani yake ya uigizaji, ambapo safari hii staa huyu ametokea katika show ya uhalisia ya muendelezo ya "Love & Hip Hop Atlanta, ambayo hutengenezwa nchini Marekani.