Size 8 aandamwa na majaribu

Size 8 akipaform jukwaani

Msanii wa muziki wa nchini Kenya aliyeokoka, Size 8 ameweka wazi changamoto mbali mbali katika maisha haya mapya, kubwa zaidi ikiwa ni kupoteza mashavu mengi ya maonyesho, kunusurika ajali zaidi ya mbili na kuyumba kidogo kiuchumi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS