Moze Radio aikana bhangi
Kufuatia sakata la kuhusika katika ugomvi siku chache zilizopita, msanii wa muziki Moze Radio wa nchini Ugandan ambaye pia ameripotiwa kupatikana na kosa la kuotesha kilevi aina ya bangi nyumbani kwake, amefunguka kukanusha taarifa hizi.

