Arusha mwenyeji kongamano la wanahabari
Katika kuelekea kwenye kilele cha siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani wadau wa tasnia ya habari nchini Tanzania wameandaa maadhimisho ya siku mbili yatakayofanyika mjini Arusha ili kuibua changamoto zinazoikumba tasnia ya habari.