Wakazi Kyela wanakabiliwa na janga la mafuriko

Mbunge wa jimbo la Kyela mkoani Mbeya, Dkt Harrison Mwakyembe

Maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya wanahitaji msaada wa dharura, kutokana na kukumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha ambapo mpaka sasa watu saba wamekwishafariki dunia kutokana na mafuriko hayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS