Baraza la vyama vya siasa kujadili katiba mpya
Baraza la vyama vya siasa nchini Tanzania limesema kwamba linakusudia kukutana hivi karibuni kujaribu kuwashawishi wafuasi wa kambi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kurejea katika bunge maalumu la Katiba.