Kikapu Dar yatamba kutesa "Intercity"
Kocha mkuu wa timu ya mpira wa kikapu ya jiji la Dar es Salaam inayojiandaa na michuano ya majiji kwa nchi za Afirika Mashariki na Kati (Intercity) Kablolah Shomari 'KB' amesema kuwa timu yake ipo tayari kwa michuano hiyo