Badi ya ligi yaridhishwa na ushindani moja kati ya michezo ya ligi kuu Tanzania bara Bodi ya ligi ya soka nchini Tanzania (TPLB) imesema kuwa imeridhishwa na ushindani uliojitokeza katika ligi kuu Tanzania Bara (VPL) na ligi daraja la kwanza (FDL) ambazo zimemalizika hivi karibuni. Read more about Badi ya ligi yaridhishwa na ushindani