Mama Pinda alia na gharama za kutibu saratani Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda Mke wa Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama tunu Pinda ameziomba taasisi mbalimbali za afya kupunguza gharama za kutibu ugonjwa wa saratani. Read more about Mama Pinda alia na gharama za kutibu saratani