Rachel Mrete asingiziwa Utanzania?
Mrembo aliyewahi kushikilia taji la Miss Universe Kenya, Rachel Marete amewataka mashabiki wake kufahamu kuwa, taarifa zinazosambazwa juu yake kuwa na asili ya Tanzania si za kweli na hajawahi kusema kitu kama hicho.