Tunu Pinda ataka gharama tiba ya saratani zipungue

Tunu Pinda, mke wa waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Kayanza Peter Pinda

Mke wa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mama Tunu Pinda, ameziomba taasisi zinazojishughulusha na matibabu dhidi ya magonjwa ya saratani kuangalia uwezekano wa kupunguza gharama za matibabu hayo kwa wagonjwa wasio na uwezo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS