Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja waliyopiga hivi karibuni
Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana jijini Arusha nchini Tanzania leo ambapo watapokea mapendekezo mbali mbali ya baraza la mawaziri wa nchi hizo.