Elimu ni moja ya vipaumbele vya BRN - Serikali

Naibu waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI Kassim Majaliwa

Serikali ya Tanzania imesema kuwa sekta ya elimu ni mojawapo ya sekta sita zilizohusishwa katika mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN), ikifuatiwa na Maji, Nishati, Fedha, Kilimo na Usafirishaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS