Uhalifu bado changamoto Kusini mwa Afrika -SAPCCO
Umoja wa Majeshi ya polisi kwa nchi zilizo Kusini mwa Afrika (SAPCCO) umesema nchi zilizo chini ya umoja huo bado zinakabiliwa na uhalifu unaotokana na uhamiaji haramu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya.

