Dayna ajipanga kutoa kichupa Msanii wa muziki nchini Dayna Nyange Msanii wa kike ambaye anakubalika sana katika muziki wa kizazi kipya nchini Dayna Nyange anatarajia kutoa video ya wimbo wake mpya ambao unatarajiwa kukamilika baada ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhan. Read more about Dayna ajipanga kutoa kichupa