Abidady ataka maprodyuza wapendane

mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania Abidady

Mtayarishaji muziki kutoka Chaiders Records, Abidady amewataka watayarishaji muziki hapa Tanzania kupendana na kutoa nafasi ya kufanyakazi kwa kushirikiana, kupeana mawazo ili kuweza kuifikisha sanaa ya muziki mbali zaidi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS