Serikali yashauriwa isijadili kura ya maoni.

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo Bw. Zitto Kabwe.

Kiongozi Mmuu wa chama cha ACT- Wazalendo Bw. Zitto Kabwe ameishauri serikali kuacha kujadili mchakato wa upigaji wa kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa kwa sasa hadi baada ya uchaguzi mkuu kutokana na mchakato huo kusuasua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS