Quick Rocker ammwagia misifa Barnaba
Staa wa muziki Quick Rocker, ameweka wazi mchango mkubwa sana wa msanii Barnaba katika ngoma yake mpya ya Beautiful, akieleza kuwa msanii huyo ndiye aliyeandika na vilevile kuitengeneza (production) ya rekodi hiyo kali kwa sehemu kubwa.