Kallage ang'ara TAFA 2015, list ya washindi wote
Tuzo za filamu Tazania TAFA 2015 zimefanyika kwa mafanikio makubwa katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Conference Centre jijini Dar es Salaam, ambapo John Kallage ameweza kung'ara zaidi kwa usiku huu kwa kujinyakulia tuzo mbili kubwa.