Cheka apanda hadi nafasi ya 41 viwango vya dunia
Bondia wa Ngumi za Kulipwa nchini Francis Cheka amechumpa katika viwango vya ubora wa ngumi Duniani kutoka nafasi ya 56 mpaka ya 41 mara baada ya kumtandika Bondia mthailand, Kiatchai Singwancha kwa TKO raundi ya nane mwishoni mwa wiki iliyopita.