Radio, Weasel wakanusha uvumi tena

Radio & Weasel

Wasanii wa muziki Radio na Weasel kutoka nchini Uganda, kwa mara nyingine tena wamelazimika kuzungumza kukanusha tetesi za kutengana baada ya uvumi mpya kusambaa hivi karibuni kuwa umoja wao utavunjika ndani ya kipindi cha miezi miwili ijayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS