Kikapu majiji kutimua vumbi kesho Taifa

Michuano ya mpira wa kikapu ya majiji Afrika Mashariki na kati inatarajiwa kuanza kutimua vumbi hapo kesho katika uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam kwa kushirikisha timu kutoka majiji zaidi ya 10.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS