Watoto Kaya masikini kunufaika mpango wa CAN

Meneja Mkuu wa Uendelevu wa Accacia, Assa Mwaipopo,

Watoto zaidi ya 2,000 kutoka kaya maskini, wanatarajia kunufaika na mpango wa Can Educate, unaotarajia kukusanya zaidi ya shilingi milioni 800 kwa ajili ya kuwasomesha elimu ya msingi hadi kidato cha sita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS