Watanzania hulipa kodi kubwa zaidi Afrika - Meza

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rene Meza

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rene Meza amesema Tanzania ni nchi pekee ambayo wananchi wake wanalipa kodi kubwa katika sekta ya mawasiliano tofauti na nchi nyingi Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS