NJE YA BOX-STIVE RNB
Stive RNB amejibu kuhusu kuwa na mahusiano kati yake yeye na Mwanamuziki Neycom.
KITENGO -DUDU BAYA
Dudu Baya afunguka kuhusu muziki anaofanya kuwa unaweza kufanya muziki na ukapumzika na kurudi kufanya muziki tena , huyu hapa anafunguka kuhusu hilo.
USIKU MNENE- COUNTRY BOY
Belle 9 ndani ya Club Maisha akiwarusha mashabiki wake huyu hapa mtazame.
