Mawakala wanakwepa gharama-Miyeyusho Baada ya kupoteza pambano nchini Namibia,Bondia Franciss Miyeyusho ameangushia lawama kwa mawakala wanaowapeleka huko kutokutoa tiketi za ndege na malazi kwa wakufunzi ili kuepuka gharama. Read more about Mawakala wanakwepa gharama-Miyeyusho