CWT yataka mabaraza ya Wafanyakazi kuvunjwa
Chama cha Walimu mkoani Iringa(CWT), kimeitaka serikali mkoani Iringa kuyavunja mabaraza ya wafanyakazi yaliyokwishamaliza muda wake na kutendea haki kada ya ualimu kwa kuteua wajumbe wengi kutoka kada hiyo kama kanuni za utumishi zinavyoelekeza.