Shehena ya vipodozi yakamatwa Morogoro

Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Leonald Paulo

Jeshi la polisi mkoani Morogoro limefanikiwa kukamata shehena ya vipodozi vinavyodaiwa kuwa ni bandia na vilivyoingizwa nchini kinyume na sheria ambapo watu watatu wanashikiliwa na jeshi hilo kutokana na tukio hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS