Mahakama kuu yafuta kesi dhidi ya Prof J
Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Mikumi mkoani Morogoro Bw Jonas Nkya wa (CCM ) dhidi ya Mbunge Joseph Haule a.ka Profesa J (CHADEMA) kuhusu kuomba kupunguziwa gharama