Jamii yatakiwa kuelimishwa kuhusu ukatili

Shirika la wanawake katika sheria na maendeleo nchini Tanzania(WiLDAF) imeiomba jamii kushiriki kikamilifu katika kutoa ushirikiano kwa waelimishaji wanaojitokeza kuelimisha juu ya ukatili wa kijinsia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS