Bomoa bomoa yahamia Jiji la Arusha

Meneja wa Mamlaka ya maji mji mdogo wa Ngaramtoni Clayson Kimaro

Mamlaka ya maji ya mji mdogo wa Ngaramtoni Jijini Arusha imewataka wananchi waliojenga kwenye vyanzo vya maji kubomoa nyumba hizo kwa muda wa siku 90 ikiwa ni utekelezaji wa sheria ya mazingira

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS