Kaijage abwaga manyanga Twiga Stars Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amejiuzulu nafasi hiyo kuanzia leo baada ya kuomba kwa uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF). Read more about Kaijage abwaga manyanga Twiga Stars