Kagera Sugar yatua Tabora kuivaa Ndanda FC.
Klabu ya Kagera Sugar imewasili mkoani Tabora tayari kwa mtanange wake wa ligi kuu ya soka Tanzania bara dhidi ya Ndanda kutoka Mtwara utakaopigwa Jumamosi hii kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini humo.